IYK-Columbus, Ohio | Karibuni Ibada ya Kiswahili | Kusheherekea Miaka Minane 8 ya Ibada ya Kiswahili na Sikukuu za Waliozaliwa Mwezi wa Mei | Ascension Church Saa Kumi Kamili Jioni |

IYK Columbus inawakaribisha wote kwenye ibada ya Kiswahili Jumapili hii 5/28 kuanzia saa kumi kamili alasiri(4:00pm). Ibada itafanyika katika kanisa la Ascension. Baada ya ibada kutakuwa na chakula cha jioni cha pamoja kusherehekea miaka 8 ya IYK na wale wote wanaosherehekea siku za kuzaliwa mwezi huu wa tano. Wote tunakaribishwa.