Ibada ya Kiswahili – 06 Agosti 2017

IYK_Ibada 8-617Mahubiri: Jumapili 6 Agosti 2017 Mch. Ipyana Mwakabonga

Luka 19:1-10 ~ ‘habari ya Zakayo

Kichwa: Utafute Mkuyu wako!/ Find your fig tree

  • Jinsi MAAMUZI na TABIA zinavyoweza kutuweka mbali au karibu na MUNGU.….how decisions and behaviors can be put away or closer to God
  • Mkuyu ni eneo/mahali panapokusaidia ili uweze kumwona Yesu
  • Mkuyu is an area or location help us to see Jesus

Ibada ya Jumapili – 13 Agosti 2017

Somo: Mwanzo 3

Kichwa: Habari ya Uhusiano wa mwanadamu kuvunjika katika bustani ya eden- Mti